Posts

Showing posts with the label Elia Mtishibi

EIA MTISHIBI ft ZORAVO-WANANGOJA LYRICS

Image
Wanangoja aah mambo yanyooke Sisi twayanyoosha kwa neno lake Wanangoja aah kupambazuke ndipo wang'ae si twang'aa gizani Wanangoja aah mvua inyeshe ndipo walime Si twalima juani Wanangoja aah amani ije ndipo wamsifu Si twamsifu vitani (repeat) yesu ni nani yesu ni bwana (repeat) Kama mti uliopandwa aah kando ya mto  usiokomaa aaah Ninazaa kwa yangu majira Najani langu hayatanyauka Kila ninalolifanya mimi linafanikiwa  Usiku hata mchana ananilisha kwa manna Usinisumbue maaana yesu ni mwokozi bwana (repeat) Yesu ndiye bwana (repeat)