Posts

Showing posts with the label shusha nyavu

MSANII MUSIC GROUP- SHUSHA NYAVU LYRICS

Image
 Akiinua hakuna atakaye ishusha Akibariki hakuna takaye laani  Akikubali hakuna atakaye kanusha Neno lake lazima litimie  Akiinua hakuna atakaye ishusha Akibariki hakuna takaye laani  Akikubali hakuna atakaye kanusha Neno lake lazima litimie kwangu Wale wanafunzi wa Yesu walishinda usiku kucha  Wakivua samaki baharini Hadi asubuhi wasipate samaki hata mmoja  Wakamwona Yesu kasimama ufukweni wa bahari Akawaambia tupeni nyavu zenu upande wa kulia wa mashua Walishindwa kuwavuta samaki wengi (AH walishangaa sana) Je wajifunza nini kwa habari za Yesu Umesoma nini anaponena Yesu Je wasoma nini anapotoa amri Hata samaki na maji na watu waelewe Hakuna jambo linalomshinda Yesu Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake Uangalie upande wa kulia wewe upate jibu (*2) Lipo jambo limekutesa Lipo jambo limekusumbua Shusha nyavu upande wa kulia uone mambo (*2) Hakuna jambo linalomshinda Yesu Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake Uangalie upande wa kulia wewe upate jibu (*4)