OBBY ALPHA- NIMEWASEMEHE LYRICS AND TRANSLATION
Nimewasamehe,Nimewasamehe (I've forgiven them) Ila tatizo kuachilia,(But I find it hard to let go) Mungu nifundishe kuachilia. (God teach me to let go) (repeat) Hivi ni nani daktari wa ugonjwa wa moyo nimjue,(Who's the doctor to the heart) Anitibu tafadhali huu mzigo mzito niutue.(That he may treat me and ill let go of this burden) Maana maumivu ni makali nahitaji ukweli niongee,( Because I'm really hurting) Kusamehe mi sijali ila kuachilia ndo nashindwa.(I don't mind forgiving but I cant let go) Baba naona giza kwenye msamaha wangu ,( Father I see darkness in my forgiving) na msamaha wako wewe haupo hivyo,(Yet your forgiveness is not like this) Ukisamehe unafuta na kusahau.(You forgive and remember no more) Hivyo najidunduliza kijae kibubu changu ,(I try to fill my cup of forgiveness) cha msamaha japo kifike hata robo,( That it may at least be a quarter full) Nikisamehe nifute na kusahau.(That when I forgive I forget and let go) Maana kiukweli nimesamehe( Truly I for...