Posts

Showing posts with the label choir

ZABRON SINGERS- SISI NDIO WALE LYRICS

Image
 Sisi ndio wale watoto wa Mungu Ukitugusa tapigwa na Mungu Na tulipo katuweka Mungu Ni mboni ya jicho lake huyu Mungu Sisi ndio wale twapendwa na Mungu Ukitugusa tapigwa na Mungu Chini juu katuleta Mungu Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu Mungu ni mmoja hi dunia Nampenda namwamini Nmzungumzia Mungu mmoja yule wa upendo Pamoja twalisifu jina lake Ndiye Yesu mwenye jina kuu Heshima mamlaka vi mabegani mwake Na uweza na nguvu mtawala wa vyote Ndio maana twamsifu Hapa tulipo katuweka Mungu Hatungefika hapa bila yeye Nani wa kupinga Mungu akipanga hakuna mwingine kama huyu Mungu wetu Eh tunasema (eh ehe he ) Twapendwa (eh eh eh) Na Yesu  (eh eh eh) Ndio maana twamsifu Sisi ndio wale watoto wa Mungu Ukitugusa tapigwa na Mungu Na tulipo katuweka Mungu Ni mboni ya jicho lake huyu Mungu Sisi ndio wale twapendwa na Mungu Ukitugusa tapigwa na Mungu Chini juu katuleta Mungu Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu Iwe shida na magonjwa Kiuma moyo hutibu Hata siwezi kueleza Mzuri ya huyu Yesu Tuna...