Posts

Showing posts with the label Patrick Kabuya

PATRICK KABUYA- UMETENDA MAAJBU LYRICS

Image
Yahweh umetenda amaajabu Yahweh Yahweh kwa macho imeonekana wazi hakuna wa kupinga (repeat) Umefufua kila kilichokufa maishani mwangu nimekuona Na wema wako nimeona nimeonja pia nimeshindwa  kueleza (repeat) Yahweh upendo wako umenishangaza Yahweh sitasahau kule ulikonitoa (repeat) Umerejesha furaha, rejesha amani umetunza vidonda vyangu Umerejesha imani, rejesha salama umefuta machozi yangu (repeat) Yahweh upendo wako umenishangaza Yahweh sitasahau kule ulikonitoa (repeat)