Posts

Showing posts with the label kuzaliwa kwa bwana

MSANII MUSIC GROUP- KUZALIWA KWA BWANA LYRICS

Image
 Amezaliwa tumshangilie Amezaliwa tusherekee (*2) Dunia yetu imepata mkombozi Dunia yetu imepata Bwana Yesu ndiye wetu mkombozi Wanadamu tumepata aah (*2) Kuzaliwa kwa Yesu mbinguni waliimba Malaika mbinguni walishangilia Amani duniani kwa duniani yote Kwa wanadamu wote aliowaahidia waupate uzima Yesu alizaliwa kwa hori la ng'ombe Mama jusi wa mbali walifika kumwona Leo Yesu naomba uzaliwe moyoni Ili nipate njia ya kupata wokovu (*2) (Yesu kazaliwa) Bethlehemu bethlehemu Kalazwa horini, hori la ng'ombe (Wachunga kondeni) Walizipata walizipata Habari za Yesu amezaliwa (*2) Ni furaha kuu kumpata mwokozi (yesu) Malaika nao waimba mbinguni (leo) Haleluya bwana yesu kazaliwa (wote) wote tumwabudu tumsujudie wote tumwabudu tumsujudie (*2) Kuzaliwa kwa bwana kuzaliwa yesu  kuzaliwa kulitabiriwa (*2) Yusufu mariamu wazazi wa yesu Na nguvu za Mungu ziliwahukia Utukufu pia una mwana huyu wako kutuponya (*2) Kazaliwa kazaliwa kazaliwa messiah kazaliwa (repeat)