Posts

Showing posts with the label Tanzania

JADO SINZA & ZORAVO-NASUBIRI LYRICS AND TRANSLATION

Image
 Bwana nasubiri ( Lord I wai) Uyatimize ulioniahidi( Foryou to fulfill your promise)  umesema nami mara nyingi (You have spoken to me many times) Na nafsi yangu yakuamini(My soul trusts you) Roho yangu inaamini (My heart trusts you) Nimesikia sauti yako (I've heard your voice) Ukinongo'na sikioni mwangu(As you whisper to my ear) Eti: ulivyouzunguka mlima huu (How you are on this mounthain) Kwa kweli Vyatosha( You stay on this mountain is over) Aaminiye ataona:( He who believes shall see) Ahadi zinadumu x2(Promises being fulfilled) Bwana nasubiri ( Lord I wait) Uyatimize ulioniahidi( Foryou to fulfill your promise)  umesema nami mara nyingi (You have spoken to me many times) Ahadi zote( All promises ) Nilizopewa na Mungu( I was given by God) Zilitiwa mu huri (Were strengthened) kwa msalaba wa Yesu Kristo( By the cross of Christ) Na nafsi yangu yakuamini(My soul trusts you) Roho yangu inaamini (My heart trusts you)

PAUL CLEMENT- HEMANI LYRICS

Image
 Nimelifanya uliloniambia Nijenge hema ya kukutania Si mimi na watu bali mimi nawe Ili tuzungumze, tuongee Nimelifanya uliloniambia Hema yetu niiweke mbali Si mbali na wewe bali mbali na watu Ili tuzungumze, tuongee Sadaka ya dhambi imeshatolewa Ametoa Yesu kuhani mkuu Mpatanishi wa mimi na wewe Ili tuzungumze, tuongee Wingu lako limeshatandaa langoni mwa hema yetu Nachosubiri wewe useme uongee na moyo wangu Hemani (Tuongee) Hemani (Tuzungumze) Mimi leo siongei nakuacha wewe uongee Ninajua una neno kwa ajili yangu Mimi leo sisemi nakuacha wewe useme  Ninajua una neno kwa ajili yangu Maana hii hema umesema wewe nijenge Maana yake una matumizi nayo na mimi Kama ulivyoongea na musa (uso kwa uso) Ongea na mimi leo (uso kwa uso) (Ongea na mimi Yesu ongea na mimi Zungumza na mimi Yesu zungumza na mimi Niko tayari)

GOODLUCK GOZBERT-USINIPITE LYRICS AND TRANSLATION

Image
  Usinipite, Usinipite ( Do not pass me ) Bwana Naomba Usinipite( Lord I pray don't pass me by) Ooh Ni maombi Yangu( It'smy prayer) ndio Kiu Yangu( Its my desire) Na ya Moyo Wangu Usiniache ( Do not leave me) Kimbilio Langu Wewe Mwanzo Wangu( My refuge and mybeginning)  Tumaini Langu Usinipite,( my hoe, don't pass me by) Unapopita,( a you pass)  Unapogusa Wengine ( As you touch other) Nami Nione Usiniache,( Don't pass me by) Kama Ni Kunibariki Sawa Sawa Sawa (Bless me as well)  Kama Kuponywa Sawa Sawa ( Heal me as well) Kama Ni Kuniinua sawa Sawa ( Lift me as well) Kama Ni Kunionya Sawa Sawa Sawa ( See me as well) Usinipite, Usinipite ( Do not pass me ) Bwana Naomba Usinipite( Lord I pray don't pass me by) Nimeinua Macho naona Milima ( I see mountains) Msaada Wangu Tu Ni Wewe ( You are my only help) Muumba Wa Vyote ( Creator of all) Kama Ni Kunibariki Sawa Sawa Sawa (Bless me as well)  Kama Kuponywa Sawa Sawa ( Heal me as well) Kama Ni Kuniinua sawa Sawa ( Lift ...

CHRISTINA SHUSHO-ZAKAYO LYRICS AND TRANSLATION

Image
 Palikuwa na mtu mmoja jina lake zakayo(There was a man named Zacchaeus) Mkubwa kwa watoza ushuru naye ni tajiri( The chief tax collector) Alitafuta kumuona Yesu ni mtu wa namna gani( He desired to see Jesus) Asiweze kwa sababu ya umati wa watu( But couldn't because of the crowd) Maana ni mfupi wa kimo( zakayo)( For he was short in stature) Akatangulia mbio(He went ahead) Akapanda juu ya mkuyu( And climbed a tree) Apate kumwona kwa maana atapita njia ile( To see Jesus for he would use the same path) Naye Yesu alipofika mahali pale( When Jesus got there) Alitazma juu kamwambia( He looked up and said) Zakayo shuka upesi shuka shuka( Come down Zacchaeus) (repeat) Bwana tazamanusu ya mali yangu nawapa masikini( Lord, half of my wealth I'll give the poor) Na ikiwa nimenyang'anya mtu kwa hila namrudishia maranne( And what I have taken unlawfully I'll return four folds) Zakayo shuka(repeat) ( Come down Zacchaeus)

PAUL CLEMENT- TAYARI LYRICS AND TRANSLATION

Image
 Bwana unifanye tayari (Lord prepare me) Maana mimi niko tayari (For I am ready) Nitumike chini ya mkono wako (To serve under your hand) Nitumike chini ya miguu yako (To serve under your feet) Daima daima daima nikae hapo ( To dwell there forever) (repeat) Nitavumilia  nitanyenyekea miguuni pako nikae hapo (I'll be patient and humble at your feet) (repat) Tayari ila wewe unifanye tayari nikutumikie (I'm ready but prepare me to serve you) (Repeat) Kwa neno kwa roho kwa pendo na kwa nguvu zako (By the word, spirit, love and your strength) (Repeat) Tayari tayari tayari( I'm ready) (Repeat) Bwana unifanye tayari (Lord prepare me) Bwana mimi niko tayari (Lord I'm ready) (Repeat)

OBBY ALPHA- NIMEWASEMEHE LYRICS AND TRANSLATION

Image
 Nimewasamehe,Nimewasamehe (I've forgiven them) Ila tatizo kuachilia,(But I find it hard to let go) Mungu nifundishe kuachilia. (God teach me to let go) (repeat) Hivi ni nani daktari wa ugonjwa wa moyo nimjue,(Who's the doctor to the heart) Anitibu tafadhali huu mzigo mzito niutue.(That he may treat me and ill let go of this burden) Maana maumivu ni makali nahitaji ukweli niongee,( Because I'm really hurting) Kusamehe mi sijali ila kuachilia ndo nashindwa.(I don't mind forgiving but I cant let go) Baba naona giza kwenye msamaha wangu ,( Father I see darkness in my forgiving) na msamaha wako wewe haupo hivyo,(Yet your forgiveness is not like this) Ukisamehe unafuta na kusahau.(You forgive and remember no more) Hivyo najidunduliza kijae kibubu changu ,(I try to fill my cup of forgiveness)  cha msamaha japo kifike hata robo,( That it may at least be a quarter full) Nikisamehe nifute na kusahau.(That when I forgive I forget and let go) Maana kiukweli nimesamehe( Truly I for...

NEEMA GPSPEL CHOIR- TUBARIKI LEO LYRICS AND TRANSLATION

Image
  Ulisema hautatuacha kamwe (You said you'll never leave us) Ulisema hautatuacha kamwe (You said you'll never leave us) Hadi mwisho wa dahari( Till the end of time)  hautatuacha kamwe( You wont leave us) Ulisema hautatutupa nje ( You said you wont cast us out) Ulisema hautatutupa nje ( You said you wont cast us out) Kila ajae kwako eeh hautamtupa nje( Everyone that comes to you you wont cast them out) Baba tunaomba utubariki Leo (Father we pray, you bless us today. ) Tumeng'ang'ana nawe utubariki Leo (We strive with you. bless us today) Hatuna mashaka na wewe (We don't doubt you) Mungu unafanya mambo yote ( you do all things )  Kwa Utukufu wako,( For your glory)  Kwa Utukufu wako Twatazamia baraka za rohoni na mwilini.(We anticipate spiritual and physical blessings) Hazitakawia twazingoja,(They wont delay, we wait for them) Baraka zi malangoni( blessings are at the gates) Malangoni (At the gates) Baraka zi Malangoni.(Blessings are at your gates) Hatuna mashaka na we...

PAUL CLEMENT - BADO NAISHI LYRICS AND MEANING

Image
Baada ya yote niliyoyapitia bado naishi bado naishi Hayajaniua yamenipa nguvu bado naishi bado naishi Wengi walidhani siatasimama  tena bado naishi bado naishi Wengine walitabiri sitaionakesho bado naishi bado naishi Mimi ni ushuhuda unaotembea bado naishi bado naishi (Afer all the trials I've been through, I m still alive. They did not kill me buy gave me strength.  Many predicted my fall but I'm still alive) Bado naishi bado naishi Bado naishi bado naishi Majaribu hayajaniua bado naishi bado naishi bado naishi bado naishi bado naishi bado naishi Na magonjwa hayajaniua bado naishi  (I'm still alive, sicknesses and trials did not kill me) Wengi waliulizana kama bado ninahema Kumbe nilifunga macho nikiomba Walijua nimekufa wakasimama kunichimbia kaburi langu Machozi yangu yakageuka furaha Uchungu wangu ukageuka amani Mungu akanifanyia kicheko mbele ya watesi wangu (Some though I was dead but I had closed my eyes in prayer, they even wanted to did up a grave for me. But God...

ZABRON SINGERS- SISI NDIO WALE LYRICS

Image
 Sisi ndio wale watoto wa Mungu Ukitugusa tapigwa na Mungu Na tulipo katuweka Mungu Ni mboni ya jicho lake huyu Mungu Sisi ndio wale twapendwa na Mungu Ukitugusa tapigwa na Mungu Chini juu katuleta Mungu Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu Mungu ni mmoja hi dunia Nampenda namwamini Nmzungumzia Mungu mmoja yule wa upendo Pamoja twalisifu jina lake Ndiye Yesu mwenye jina kuu Heshima mamlaka vi mabegani mwake Na uweza na nguvu mtawala wa vyote Ndio maana twamsifu Hapa tulipo katuweka Mungu Hatungefika hapa bila yeye Nani wa kupinga Mungu akipanga hakuna mwingine kama huyu Mungu wetu Eh tunasema (eh ehe he ) Twapendwa (eh eh eh) Na Yesu  (eh eh eh) Ndio maana twamsifu Sisi ndio wale watoto wa Mungu Ukitugusa tapigwa na Mungu Na tulipo katuweka Mungu Ni mboni ya jicho lake huyu Mungu Sisi ndio wale twapendwa na Mungu Ukitugusa tapigwa na Mungu Chini juu katuleta Mungu Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu Iwe shida na magonjwa Kiuma moyo hutibu Hata siwezi kueleza Mzuri ya huyu Yesu Tuna...

VICTORIA ZABRON-NIMEBAKI NA AMANI LYRICS

Image
 Mungu umenipa nafasi nyingine tena Nafasi ya kushukuru ule wema upendo wako Naomba uzima ,hekima yako Hata nisijivune maana wewe mtenda yote Hata yale yamepita ukaniongoza nimebaki na amani Na umeniweka pazuri nisnakushukuru Baba wa mbinguni Pamoja na shida zangu zote najua ukonami na iwe sehemu yangu Naomba baraka zako zije, zifike na unyenyekevu kama Mungu uishivyo Wanipenda na hujawai niacha kuna muda sivumilii Bado Mungu wangu wanipenda Wewe ni sababu ya mimi kuishi hata hapa niko na wewe Umenivusha kwa mambo mengi Mungu hufanya mambo makubwa kwangu nisiyo yajua Husimama namimi usiku mchana Hata nikatafuta wa kumwambia na sikumpata Nikakuona wewe Mungu mwenye upendo Mungu wewe una siri kubwa nisiyoijua Umenipigania (mmh) usiku mchana Haya mafanikio yakaja umekuwa na mimi Hujaacha nishindwe sifa zikurudie Pamoja na shida zangu zote najua ukonami na iwe sehemu yangu Naomba baraka zako zije, zifike na unyenyekevu kama Mungu uishivyo Wanipenda na hujawai niacha kuna muda sivumilii...

NEEMA GOSPEL CHOIR- NIKUREJESHEE LYRICS AND TRANSLATION

Image
Jeremiah 30: 17 But I will restore you to health and heal your wounds,’  declares the LORD, ‘because you are called an outcast,  Zion for whom no one cares. 1Peter 5 :10 And the God of all grace, who called you to his eternal glory in Christ,  after you have suffered a little while,  will himself restore you and make you strong, firm and steadfast. Nasikia kuitwa na sauti yake anasema njoo kwangu nikurejeshe (I hear his voice calling saying come to me i will restore) Yaliobiwa yaliyochukuliwa na mwovu anasema njoo kwangu nikurejeshe (What was sttolen by the enemy, come I will restore) Nikurejeshe, nikurejeshe Anasema njoo kwangu nikurejeshe (I will restore to you) Amani ya moyo iliyotoweka  usiitafute pengine, Kwake Yesu utaipata Furaha ya kweli iliyotoweka  usiitafute pengine, Kwake Yesu utaipata (Peace that was lost, joy that was lost you'll find it in Jesus) Ndipo hayo mema yatakujilia Atarejesha vyote adui alivyochua (Good will come to you'He will res...

AGAPE GOSPEL BAND- MATOKEO YA NEEMA LYRICS AND TANSLATION

Image
The song "matokeo ya neema" by Agape gospel band is a song of  gratitude to God when one recalls of his goodness upon our lives. The general meaning of the song is that even when everyone turned their back upon us, God did not forget us. He remembered us and crowned us with glory. As the scripture says in psalms 113:7 that he lifts the poor man from the ashes and makes him to sit with kings and share in their glory. The song also reminds us that all things are from him and we should never take pride in ourselves but only in God.  Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka (repeat) Niliyesahauliwa na ndungu na marafiki Bwana yesu amenikumbuka Niyedharauliwa na familia yangu yote Bwana yesu amenikumbuka Bwana yesu amenikumbuka Mimi niliyetengwa na majirani Bwana yesu amenikumbuka Kwa sababu ya upungufu wa hela Walinisahau marafiki wote lakini bwana yesu Bwana yesu amenikumbuka Mimi niliyelia nimelia sana laikin...

OBBY ALPHA &GUARDIAN ANGEL -PIGANA NA MUNGU LYRICS AND MEANING

Image
 Siwezi pigana nawe nanyosha mikono juu basi pigana na Mungu Siwezi shindana nawe nanyosha mikono juu bashi shindana na Mungu (I cannot fight with you, fight with God. I cannot compete with you, compete with God) Ooh shindana na Mungu(shindana na Mungu) basi pigana na Mungu(pigana na Mungu) Hata kama vita nitapigana Ila ushindi atanishindia aah Yote si mapenzi yangu Bali ni mapenzi yake Mungu Ukitamka laana Ila baraka kanitamkia Yote si mapenzi yangu Bali kwa mapenzi yake Mungu (Even when I fight God gives me victory, not My will but by His will. If you speak a curse over me God has spoken blessings over me by His will) Maana uhai wangu mie Nimemkabidhi yeye Ukitaka kunigusa mie Unataka kumgusa yeye Ukinigusa kwa mema Atakubariki atakubariki Ila ukitaka kwa mabaya Usishiriki maana siyo rahisi (For my life belongs to Him and whatever you do to me is also unto Him) Maana vita yangu eeh Si ya mwili bali ni ya rohoni Tena sipigani mimi Anayenipigania Mwokozi hivyo (I do not fight in th...

THE MAFIK - TUNAANZA NA MUNGU FULL LYRICS

Oh oh oooh oh Naanza na Mungu  God is my first one Mimi ni wa Mungu God is my first one Tunaanza na Mungu God is our first one Sisi ni wa Mungu God is our first one Uniku-mbushe kuanza nawe Maana kukujua we ni chanzo cha maarifa Ninapote-mbea niongozwe nawe Katika safari yangu utanifikisha ah Ziongoze nyayo za miguu yangu Shughulika na watesi wangu Maana we ndiwe nuru ya maisha yangu Na kila ulichokiahidi kitakua changu If the God wish oh One day you will be superstar (superstar) If the God bless oh Utaheshimika kwa mitaa Mtangulize Mungu atakushangaza Muaminie yeye atende miujiza Naanza na Mungu  God is my first one Mimi ni wa Mungu God is my first one Tunaanza na Mungu  God is our first one Sisi ni wa Mungu God is our first one Niianzapo siku yangu  Minaanza na  wewe Mungu Nifanyapo jambo langu Nipatapo shida zangu Nakuweka mbele Baba Hapo mwanzo nilifeli Kwa kuwa sikuanza nawe Hapo mwanzo nilishindwa Kwa kuwa sikukufuata Ila leo (leo)leo (leo) Naanza na wewe ...