Posts

Showing posts with the label Victoria zabron

VICTORIA ZABRON-NIMEBAKI NA AMANI LYRICS

Image
 Mungu umenipa nafasi nyingine tena Nafasi ya kushukuru ule wema upendo wako Naomba uzima ,hekima yako Hata nisijivune maana wewe mtenda yote Hata yale yamepita ukaniongoza nimebaki na amani Na umeniweka pazuri nisnakushukuru Baba wa mbinguni Pamoja na shida zangu zote najua ukonami na iwe sehemu yangu Naomba baraka zako zije, zifike na unyenyekevu kama Mungu uishivyo Wanipenda na hujawai niacha kuna muda sivumilii Bado Mungu wangu wanipenda Wewe ni sababu ya mimi kuishi hata hapa niko na wewe Umenivusha kwa mambo mengi Mungu hufanya mambo makubwa kwangu nisiyo yajua Husimama namimi usiku mchana Hata nikatafuta wa kumwambia na sikumpata Nikakuona wewe Mungu mwenye upendo Mungu wewe una siri kubwa nisiyoijua Umenipigania (mmh) usiku mchana Haya mafanikio yakaja umekuwa na mimi Hujaacha nishindwe sifa zikurudie Pamoja na shida zangu zote najua ukonami na iwe sehemu yangu Naomba baraka zako zije, zifike na unyenyekevu kama Mungu uishivyo Wanipenda na hujawai niacha kuna muda sivumilii Bad