GOODLUCK GOZBERT-USINIPITE LYRICS AND TRANSLATION
Usinipite, Usinipite ( Do not pass me ) Bwana Naomba Usinipite( Lord I pray don't pass me by) Ooh Ni maombi Yangu( It'smy prayer) ndio Kiu Yangu( Its my desire) Na ya Moyo Wangu Usiniache ( Do not leave me) Kimbilio Langu Wewe Mwanzo Wangu( My refuge and mybeginning) Tumaini Langu Usinipite,( my hoe, don't pass me by) Unapopita,( a you pass) Unapogusa Wengine ( As you touch other) Nami Nione Usiniache,( Don't pass me by) Kama Ni Kunibariki Sawa Sawa Sawa (Bless me as well) Kama Kuponywa Sawa Sawa ( Heal me as well) Kama Ni Kuniinua sawa Sawa ( Lift me as well) Kama Ni Kunionya Sawa Sawa Sawa ( See me as well) Usinipite, Usinipite ( Do not pass me ) Bwana Naomba Usinipite( Lord I pray don't pass me by) Nimeinua Macho naona Milima ( I see mountains) Msaada Wangu Tu Ni Wewe ( You are my only help) Muumba Wa Vyote ( Creator of all) Kama Ni Kunibariki Sawa Sawa Sawa (Bless me as well) Kama Kuponywa Sawa Sawa ( Heal me as well) Kama Ni Kuniinua sawa Sawa ( Lift ...