Posts

Showing posts with the label Kenyan

WILBERFORCE MUSYOKA-METHOI MA MWISO LYRICS AND ENGLISH TRANSLATION

Image
Ndikoneke ni kyonze niumia ndiwa ninikase (*2) (So that I may not be seen as weak, I hurt by told to be strong) Moko makwa matwikite ngombo ya ngolu Akiakisya makwa membia Vai ngumbau ite ilanga (*2) (My hands have become a slave, but my comforters tell me no hero has no scar) Nesiiya muno ndikese kuiia Niia maume ndikaie ingi  (*2) (I try so hard not to cry, but I will cry the pain again that I will not cry again) Methoi aah methwe ma mwiso Niia maume ndikaie ingi (*2) (May these tears be my last, I'll cry so that I won't cry again) Methe ma mwiiso Methe ma mwiiso (May these tears be my last) Niia mathele vyu Noone imeno ya mwiso Nthokye utanu(*2) (I'll cry till they are over, I will welcome joy) Ndyaaumbwa nthine No no no  Ndyaaumbiwa thina (*2) (I was not created to suffer) Meethoi utuku Utanu kiokoni Niia maume ndikaie ingi (Tears at night and joy in the morning. I'll cry so that I wont cry again) Methe ma mwiiso Methe ma mwiiso (May these tears be my last) Evo wisi...

MERCY MASIKA-MTAKATIFU LYRICS AND TRANSLATION

 R evelation 4:8 And each of the four living beings had six wings about him,  and they were full of eyes within;  and they rested not day and night, saying,  “Holy, holy, holy, Lord God Almighty, who was, and is, and is to come!” ****  Mtakatifu mtakatifu (Holy holy) Ndiwe bwana wa majeshi (Is the lord of hosts) Mbingu na nchi zimejawa na utukufu wako (The heavens and earth are full of your glory) (repeat) Uliyesema na upepo ukakutii (You spoke and the wind obeyed you) Bahari ilikuona ikakimbia (At your sight the sea  parts) Mifupa mikavu yaweza kuwa jeshi (Dry bones become an army) kila kilichokufa bwana warejesha (Everything that is dead you restore) (repeat) Ni wewe wa kuabudiwa (You are the one to be worshipped) ni wewe wa kupewa sifa (You are the one to be praised) (repeat) Halleluja aaahh (repeat Wastahili aaahh (repeat) (You ere worthy) Mtakatifu aaahh (repeat) (You are holy) Mtakatifu mtakatifu (Holy holy) Ndiwe bwana wa majeshi (Is the lord of host...

MSANII MUSIC GROUP- SHUSHA NYAVU LYRICS

Image
 Akiinua hakuna atakaye ishusha Akibariki hakuna takaye laani  Akikubali hakuna atakaye kanusha Neno lake lazima litimie  Akiinua hakuna atakaye ishusha Akibariki hakuna takaye laani  Akikubali hakuna atakaye kanusha Neno lake lazima litimie kwangu Wale wanafunzi wa Yesu walishinda usiku kucha  Wakivua samaki baharini Hadi asubuhi wasipate samaki hata mmoja  Wakamwona Yesu kasimama ufukweni wa bahari Akawaambia tupeni nyavu zenu upande wa kulia wa mashua Walishindwa kuwavuta samaki wengi (AH walishangaa sana) Je wajifunza nini kwa habari za Yesu Umesoma nini anaponena Yesu Je wasoma nini anapotoa amri Hata samaki na maji na watu waelewe Hakuna jambo linalomshinda Yesu Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake Uangalie upande wa kulia wewe upate jibu (*2) Lipo jambo limekutesa Lipo jambo limekusumbua Shusha nyavu upande wa kulia uone mambo (*2) Hakuna jambo linalomshinda Yesu Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake Uangalie upande wa kulia wewe upate jibu (*4)

DEUS DERRICK-NEEMA LYRICS

Image
2 Corinthians 9:8And God is able to make all grace abound toward you; that ye,  always having all sufficiency in all things , may abound to every good work Neema gani hiyo inayobadili misimu Kumfanya yeyote yule asishindwe na chochote Neema gani hiyo inayobadilisha watu Kuwatoa matopeni kuwaketisha na wakuu juu Kibali cha Mungu kilichofanya Esther na Josefu Kutokataliwa machoni pa wanadamu Hiyo hiyoneema na kibali Hiyo hiyo neema na kibali Naiombea mimi Naiombea mimi Naiombea mimi Naiombea mimi Nami najiombea neema kibali chake Nami najiombea neema izidi nisonge mbele Wengine hatuhitaji connection ndio tusonge mbele Ila yake Mungu wetu affection atuneemeshe Wengine hatuhitaji connection ndio tusonge mbele Ila yake Mungu wetu affection atuneemeshe Wengine wanang'ang'ana sababu neema haipo Mambo hayasongi Mambo hayaendi Mambo hayasongi Mambo hayaendi Tunahitaji kibali kwa Mungu na wanadamu pia Tunahitaji kibali kwa Mungu na wanadamu pia Hiyo hiyoneema na kibali Hiyo hiyo neema n...

OBBY ALPHA &GUARDIAN ANGEL -PIGANA NA MUNGU LYRICS AND MEANING

Image
 Siwezi pigana nawe nanyosha mikono juu basi pigana na Mungu Siwezi shindana nawe nanyosha mikono juu bashi shindana na Mungu (I cannot fight with you, fight with God. I cannot compete with you, compete with God) Ooh shindana na Mungu(shindana na Mungu) basi pigana na Mungu(pigana na Mungu) Hata kama vita nitapigana Ila ushindi atanishindia aah Yote si mapenzi yangu Bali ni mapenzi yake Mungu Ukitamka laana Ila baraka kanitamkia Yote si mapenzi yangu Bali kwa mapenzi yake Mungu (Even when I fight God gives me victory, not My will but by His will. If you speak a curse over me God has spoken blessings over me by His will) Maana uhai wangu mie Nimemkabidhi yeye Ukitaka kunigusa mie Unataka kumgusa yeye Ukinigusa kwa mema Atakubariki atakubariki Ila ukitaka kwa mabaya Usishiriki maana siyo rahisi (For my life belongs to Him and whatever you do to me is also unto Him) Maana vita yangu eeh Si ya mwili bali ni ya rohoni Tena sipigani mimi Anayenipigania Mwokozi hivyo (I do not fight in th...