Posts

Showing posts with the label Paul clement

PAUL CLEMENT- HEMANI LYRICS

Image
 Nimelifanya uliloniambia Nijenge hema ya kukutania Si mimi na watu bali mimi nawe Ili tuzungumze, tuongee Nimelifanya uliloniambia Hema yetu niiweke mbali Si mbali na wewe bali mbali na watu Ili tuzungumze, tuongee Sadaka ya dhambi imeshatolewa Ametoa Yesu kuhani mkuu Mpatanishi wa mimi na wewe Ili tuzungumze, tuongee Wingu lako limeshatandaa langoni mwa hema yetu Nachosubiri wewe useme uongee na moyo wangu Hemani (Tuongee) Hemani (Tuzungumze) Mimi leo siongei nakuacha wewe uongee Ninajua una neno kwa ajili yangu Mimi leo sisemi nakuacha wewe useme  Ninajua una neno kwa ajili yangu Maana hii hema umesema wewe nijenge Maana yake una matumizi nayo na mimi Kama ulivyoongea na musa (uso kwa uso) Ongea na mimi leo (uso kwa uso) (Ongea na mimi Yesu ongea na mimi Zungumza na mimi Yesu zungumza na mimi Niko tayari)

PAUL CLEMENT- TAYARI LYRICS AND TRANSLATION

Image
 Bwana unifanye tayari (Lord prepare me) Maana mimi niko tayari (For I am ready) Nitumike chini ya mkono wako (To serve under your hand) Nitumike chini ya miguu yako (To serve under your feet) Daima daima daima nikae hapo ( To dwell there forever) (repeat) Nitavumilia  nitanyenyekea miguuni pako nikae hapo (I'll be patient and humble at your feet) (repat) Tayari ila wewe unifanye tayari nikutumikie (I'm ready but prepare me to serve you) (Repeat) Kwa neno kwa roho kwa pendo na kwa nguvu zako (By the word, spirit, love and your strength) (Repeat) Tayari tayari tayari( I'm ready) (Repeat) Bwana unifanye tayari (Lord prepare me) Bwana mimi niko tayari (Lord I'm ready) (Repeat)

PAUL CLEMENT - BADO NAISHI LYRICS AND MEANING

Image
Baada ya yote niliyoyapitia bado naishi bado naishi Hayajaniua yamenipa nguvu bado naishi bado naishi Wengi walidhani siatasimama  tena bado naishi bado naishi Wengine walitabiri sitaionakesho bado naishi bado naishi Mimi ni ushuhuda unaotembea bado naishi bado naishi (Afer all the trials I've been through, I m still alive. They did not kill me buy gave me strength.  Many predicted my fall but I'm still alive) Bado naishi bado naishi Bado naishi bado naishi Majaribu hayajaniua bado naishi bado naishi bado naishi bado naishi bado naishi bado naishi Na magonjwa hayajaniua bado naishi  (I'm still alive, sicknesses and trials did not kill me) Wengi waliulizana kama bado ninahema Kumbe nilifunga macho nikiomba Walijua nimekufa wakasimama kunichimbia kaburi langu Machozi yangu yakageuka furaha Uchungu wangu ukageuka amani Mungu akanifanyia kicheko mbele ya watesi wangu (Some though I was dead but I had closed my eyes in prayer, they even wanted to did up a grave for me. But God...