AGAPE GOSPEL BAND- MATOKEO YA NEEMA LYRICS AND TANSLATION

The song "matokeo ya neema" by Agape gospel band is a song of  gratitude to God when one recalls of his goodness upon our lives. The general meaning of the song is that even when everyone turned their back upon us, God did not forget us. He remembered us and crowned us with glory. As the scripture says in psalms 113:7 that he lifts the poor man from the ashes and makes him to sit with kings and share in their glory. The song also reminds us that all things are from him and we should never take pride in ourselves but only in God.



 Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka

Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka

Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka (repeat)


Niliyesahauliwa na ndungu na marafiki

Bwana yesu amenikumbuka

Niyedharauliwa na familia yangu yote

Bwana yesu amenikumbuka

Bwana yesu amenikumbuka

Mimi niliyetengwa na majirani

Bwana yesu amenikumbuka

Kwa sababu ya upungufu wa hela

Walinisahau marafiki wote lakini bwana yesu

Bwana yesu amenikumbuka

Mimi niliyelia nimelia sana laikini leo bwana yesu

Bwana yesu amenikumbuka


Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka

Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka

Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka(repeat)


Niliyesahauliwa na ndungu na marafiki

Bwana yesu amenikumbuka

Mimi niliyetengwa na familia yangu yote

Bwana yesu amenikumbuka

Hata mama, watoto walinisahau lakini yesu

Bwana yesu amenikumbuka

Mimi niliyesahauliwa

Bwana yesu amenikumbuka

Niliyesahauliwa na marafiki na majirani

Bwana yesu amenikumbuka

Niledharauliwa na wote jamani eh

Bwana yesu amenikumbuka


Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka

Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka

Nimekumbukwa Bwana Yesu amenikumbuka(repeat)


Yale umefanya kwangu ni mengi sana

Siwezi kukusahau kamwe

Bwana ndiye kimbilio na msaada wangu

Mimi wakati wa shida 

Nilipotea ukanitafuta baba

Ukanichagua niwe mwana wako



Mimi ni matokeo ya neema 

Nimepata neema machoni pa Mungu wangu

Mimi ni matokeo ya neema 

Nimepata neema machoni pa Mungu wangu


Jinsi nilivyoleo mimi

Ni kwa neema ya Mungu

Uhai ninao leo

Ni kwa neema ya Mungu

Ndo uliyonayo ndugu yangu, ni kwa neema ya nani

Ni kwa neema ya Mungu

Dada watato unao leo, ni kwa neema ya nani

Ni kwa neema ya Mungu

Degree na masters uliyonayo mpendwa, ni kwa neema ya nani

Ni kwa neema ya Mungu



Mimi ni matokeo ya neema 

Nimepata neema machoni pa Mungu wangu

Mimi ni matokeo ya neema 

Nimepata neema machoni pa Mungu wangu

Comments

Popular posts from this blog

XOLLY MNCWANGO - UMUHLE BABA LYRICS AND TRANSLATION

WORSHIP HOUSE- AFRICA FOR JESUS FULL LYRICS AND TRANSLATION

BELLA KOMBO ft. EVELYN WANJIRY & NEEMA GOSPEL CHOIR - MUNGU NI MMOJA LYRICS