DEUS DERRICK-NEEMA LYRICS

2 Corinthians 9:8And God is able to make all grace
abound toward you; that ye, 
always having all sufficiency in all things,
may abound to every good work


Neema gani hiyo inayobadili misimu
Kumfanya yeyote yule asishindwe na chochote
Neema gani hiyo inayobadilisha watu
Kuwatoa matopeni kuwaketisha na wakuu juu
Kibali cha Mungu kilichofanya Esther na Josefu
Kutokataliwa machoni pa wanadamu

Hiyo hiyoneema na kibali
Hiyo hiyo neema na kibali
Naiombea mimi
Naiombea mimi
Naiombea mimi
Naiombea mimi

Nami najiombea neema kibali chake
Nami najiombea neema izidi nisonge mbele

Wengine hatuhitaji connection ndio tusonge mbele
Ila yake Mungu wetu affection atuneemeshe
Wengine hatuhitaji connection ndio tusonge mbele
Ila yake Mungu wetu affection atuneemeshe

Wengine wanang'ang'ana sababu neema haipo
Mambo hayasongi
Mambo hayaendi
Mambo hayasongi
Mambo hayaendi

Tunahitaji kibali kwa Mungu na wanadamu pia
Tunahitaji kibali kwa Mungu na wanadamu pia


Hiyo hiyoneema na kibali
Hiyo hiyo neema na kibali
Naiombea mimi
Naiombea mimi
Naiombea mimi
Naiombea mimi

Nami najiombea neema kibali chake
Nami najiombea neema izidi nisonge mbele


Comments

Popular posts from this blog

XOLLY MNCWANGO - UMUHLE BABA LYRICS AND TRANSLATION

WORSHIP HOUSE- AFRICA FOR JESUS FULL LYRICS AND TRANSLATION

BELLA KOMBO ft. EVELYN WANJIRY & NEEMA GOSPEL CHOIR - MUNGU NI MMOJA LYRICS