MSANII MUSIC GROUP- KUZALIWA KWA BWANA LYRICS

 Amezaliwa tumshangilie

Amezaliwa tusherekee (*2)


Dunia yetu imepata mkombozi

Dunia yetu imepata

Bwana Yesu ndiye wetu mkombozi

Wanadamu tumepata aah (*2)


Kuzaliwa kwa Yesu mbinguni waliimba

Malaika mbinguni walishangilia

Amani duniani kwa duniani yote

Kwa wanadamu wote aliowaahidia waupate uzima


Yesu alizaliwa kwa hori la ng'ombe

Mama jusi wa mbali walifika kumwona

Leo Yesu naomba uzaliwe moyoni

Ili nipate njia ya kupata wokovu (*2)


(Yesu kazaliwa)

Bethlehemu bethlehemu

Kalazwa horini, hori la ng'ombe

(Wachunga kondeni)

Walizipata walizipata

Habari za Yesu amezaliwa (*2)



Ni furaha kuu kumpata mwokozi (yesu)

Malaika nao waimba mbinguni (leo)

Haleluya bwana yesu kazaliwa (wote)

wote tumwabudu tumsujudie

wote tumwabudu tumsujudie (*2)


Kuzaliwa kwa bwana kuzaliwa yesu 

kuzaliwa kulitabiriwa (*2)


Yusufu mariamu wazazi wa yesu

Na nguvu za Mungu ziliwahukia

Utukufu pia una mwana huyu wako kutuponya (*2)


Kazaliwa kazaliwa kazaliwa messiah kazaliwa (repeat)



Comments

Popular posts from this blog

XOLLY MNCWANGO - UMUHLE BABA LYRICS AND TRANSLATION

WORSHIP HOUSE- AFRICA FOR JESUS FULL LYRICS AND TRANSLATION

BELLA KOMBO ft. EVELYN WANJIRY & NEEMA GOSPEL CHOIR - MUNGU NI MMOJA LYRICS