MSANII MUSIC GROUP- SHUSHA NYAVU LYRICS

 Akiinua hakuna atakaye ishusha

Akibariki hakuna takaye laani 

Akikubali hakuna atakaye kanusha

Neno lake lazima litimie 


Akiinua hakuna atakaye ishusha

Akibariki hakuna takaye laani 

Akikubali hakuna atakaye kanusha

Neno lake lazima litimie kwangu


Wale wanafunzi wa Yesu walishinda usiku kucha 

Wakivua samaki baharini

Hadi asubuhi wasipate samaki hata mmoja 

Wakamwona Yesu kasimama ufukweni wa bahari

Akawaambia tupeni nyavu zenu upande wa kulia wa mashua


Walishindwa kuwavuta samaki wengi

(AH walishangaa sana)


Je wajifunza nini kwa habari za Yesu

Umesoma nini anaponena Yesu

Je wasoma nini anapotoa amri

Hata samaki na maji na watu waelewe


Hakuna jambo linalomshinda Yesu

Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake

Uangalie upande wa kulia wewe upate jibu (*2)


Lipo jambo limekutesa

Lipo jambo limekusumbua

Shusha nyavu upande wa kulia uone mambo (*2)


Hakuna jambo linalomshinda Yesu

Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake

Uangalie upande wa kulia wewe upate jibu (*4)



Comments

Popular posts from this blog

XOLLY MNCWANGO - UMUHLE BABA LYRICS AND TRANSLATION

WORSHIP HOUSE- AFRICA FOR JESUS FULL LYRICS AND TRANSLATION

BELLA KOMBO ft. EVELYN WANJIRY & NEEMA GOSPEL CHOIR - MUNGU NI MMOJA LYRICS