VICTORIA ZABRON-NIMEBAKI NA AMANI LYRICS

 Mungu umenipa nafasi nyingine tena

Nafasi ya kushukuru ule wema upendo wako

Naomba uzima ,hekima yako

Hata nisijivune maana wewe mtenda yote

Hata yale yamepita ukaniongoza nimebaki na amani

Na umeniweka pazuri nisnakushukuru Baba wa mbinguni

Pamoja na shida zangu zote najua ukonami na iwe sehemu yangu

Naomba baraka zako zije, zifike na unyenyekevu kama Mungu uishivyo

Wanipenda na hujawai niacha kuna muda sivumilii

Bado Mungu wangu wanipenda

Wewe ni sababu ya mimi kuishi hata hapa niko na wewe

Umenivusha kwa mambo mengi

Mungu hufanya mambo makubwa kwangu nisiyo yajua

Husimama namimi usiku mchana

Hata nikatafuta wa kumwambia na sikumpata

Nikakuona wewe Mungu mwenye upendo

Mungu wewe una siri kubwa nisiyoijua

Umenipigania (mmh) usiku mchana

Haya mafanikio yakaja umekuwa na mimi

Hujaacha nishindwe sifa zikurudie

Pamoja na shida zangu zote najua ukonami na iwe sehemu yangu

Naomba baraka zako zije, zifike na unyenyekevu kama Mungu uishivyo

Wanipenda na hujawai niacha kuna muda sivumilii

Bado Mungu wangu wanipenda

Wewe ni sababu ya mimi kuishi hata hapa niko na wewe

Umenivusha kwa mambo mengi

Comments

Popular posts from this blog

XOLLY MNCWANGO - UMUHLE BABA LYRICS AND TRANSLATION

WORSHIP HOUSE- AFRICA FOR JESUS FULL LYRICS AND TRANSLATION

BELLA KOMBO ft. EVELYN WANJIRY & NEEMA GOSPEL CHOIR - MUNGU NI MMOJA LYRICS