ZABRON SINGERS- SISI NDIO WALE LYRICS

 Sisi ndio wale watoto wa Mungu

Ukitugusa tapigwa na Mungu

Na tulipo katuweka Mungu

Ni mboni ya jicho lake huyu Mungu


Sisi ndio wale twapendwa na Mungu

Ukitugusa tapigwa na Mungu

Chini juu katuleta Mungu

Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu


Mungu ni mmoja hi dunia

Nampenda namwamini

Nmzungumzia Mungu mmoja yule wa upendo

Pamoja twalisifu jina lake


Ndiye Yesu mwenye jina kuu

Heshima mamlaka vi mabegani mwake

Na uweza na nguvu mtawala wa vyote

Ndio maana twamsifu


Hapa tulipo katuweka Mungu

Hatungefika hapa bila yeye

Nani wa kupinga Mungu akipanga hakuna mwingine kama huyu Mungu wetu

Eh tunasema

(eh ehe he )

Twapendwa

(eh eh eh)

Na Yesu 

(eh eh eh)

Ndio maana twamsifu


Sisi ndio wale watoto wa Mungu

Ukitugusa tapigwa na Mungu

Na tulipo katuweka Mungu

Ni mboni ya jicho lake huyu Mungu


Sisi ndio wale twapendwa na Mungu

Ukitugusa tapigwa na Mungu

Chini juu katuleta Mungu

Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu


Iwe shida na magonjwa

Kiuma moyo hutibu

Hata siwezi kueleza

Mzuri ya huyu Yesu

Tunalindwa tunapendwa twafurahi anatulinda ni mzuri Huyu Yesu


Hakuna Mungu kama wewe

(eh eh eh eh) 

Hakuna Mungu kama wewe

(eh eh eh eh)

Hakuna Mungu kama wewe

(eh eh eh eh)

Hakuna Mungu kama wewe

(eh eh eh eh)

Hakuna Mungu kama wewe

(eh eh eh eh)

Ndio maana twakusifu


Sisi ndio wale watoto wa Mungu

Ukitugusa tapigwa na Mungu

Na tulipo katuweka Mungu

Ni mboni ya jicho lake huyu Mungu


Sisi ndio wale twapendwa na Mungu

Ukitugusa tapigwa na Mungu

Chini juu katuleta Mungu

Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu




Comments

Popular posts from this blog

XOLLY MNCWANGO - UMUHLE BABA LYRICS AND TRANSLATION

WORSHIP HOUSE- AFRICA FOR JESUS FULL LYRICS AND TRANSLATION

BELLA KOMBO ft. EVELYN WANJIRY & NEEMA GOSPEL CHOIR - MUNGU NI MMOJA LYRICS