PAUL CLEMENT- HEMANI LYRICS

 Nimelifanya uliloniambia

Nijenge hema ya kukutania

Si mimi na watu bali mimi nawe

Ili tuzungumze, tuongee


Nimelifanya uliloniambia

Hema yetu niiweke mbali

Si mbali na wewe bali mbali na watu

Ili tuzungumze, tuongee


Sadaka ya dhambi imeshatolewa

Ametoa Yesu kuhani mkuu

Mpatanishi wa mimi na wewe

Ili tuzungumze, tuongee



Wingu lako limeshatandaa langoni mwa hema yetu

Nachosubiri wewe useme uongee na moyo wangu


Hemani (Tuongee)

Hemani (Tuzungumze)


Mimi leo siongei nakuacha wewe uongee

Ninajua una neno kwa ajili yangu

Mimi leo sisemi nakuacha wewe useme 

Ninajua una neno kwa ajili yangu


Maana hii hema umesema wewe nijenge

Maana yake una matumizi nayo na mimi


Kama ulivyoongea na musa (uso kwa uso)

Ongea na mimi leo (uso kwa uso)


(Ongea na mimi Yesu ongea na mimi

Zungumza na mimi Yesu zungumza na mimi

Niko tayari)

Comments

Popular posts from this blog

XOLLY MNCWANGO - UMUHLE BABA LYRICS AND TRANSLATION

WORSHIP HOUSE- AFRICA FOR JESUS FULL LYRICS AND TRANSLATION

BELLA KOMBO ft. EVELYN WANJIRY & NEEMA GOSPEL CHOIR - MUNGU NI MMOJA LYRICS